Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
I don't think soHustlers are never motivated.... They are born to hustle an self motivated
Then ... you have to think again.. Hustlers are only motivated with the outcomes of their own actionsI don't think so
Do u why hustlers are motivated with outcomes of their own actions?Then ... you have to think again.. Hustlers are only motivated with the outcomes of their own actions
Umesemaje hapo sijaelewa do you why ?Do u why hustlers are motivated with outcomes of their own actions?
Do you knowUmesemaje hapo sijaelewa do you why ?
Yeah man do you know?Do you know
π€π€Yeah man do you know?
Rare & not rearHustlers are never motivated. They are born to hustle an self motivated.
If you need motivation to hustle, there's a problem somewhere; you need to work very hard.
Your chance to be successful is very rear
Kwahyo kaniokotaRare & not rear
Andiko hili ni mali ya Padre Prosper Kessy.Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano.
Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu au changamoto zitakazo bomoa njia.
Kama mvua na kiangazi kinavyoweza kuharibu barabara za kawaida. Uwe mbunifu daima kama njia yakulinda mafanikio yako. [emoji2399] Pocco.
Eti ni kweli mdomo unaoongea sanaa ni rahisi kumuumiza rafiki?[emoji848] Unayemdharau unaweza kukuta anakula nyama kila siku[emoji13][emoji2097][emoji2097][emoji13]
Aisee hii ndiyo kanunu yangu ya maisha ninavyoishi huwa siruhusu watu waje kunihubiria ishu za maisha kilakitu namwachia MUNGU basi inatoshaHustlers are never motivated. They are born to hustle an self motivated.
If you need motivation to hustle, there's a problem somewhere; you need to work very hard.
Your chance to be successful is very rear
Mmhhh he is goodAndiko hili ni mali ya Padre Prosper Kessy.
Ku copy na ku paste bila kumpa acknowledgement ni aibu kwako.
Ume edit baadhi ya maneno kwa makusudi.
Andiko halisi (original) ni hili hapa [emoji116]
"
Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano. Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu au changamoto zitakazo bomoa njia. Kama mvua na kiangazi kinavyoweza kuharibu barabara za kawaida. Uwe mbunifu daima kama njia yakulinda mafanikio yako. [emoji2399] Pd. PK. Eti ni kweli mdomo unao ongea sanaa ni rahisi kumuumiza rafiki?[emoji848] Unayemdharau unaweza kukuta anakula nyama kila siku[emoji13][emoji2097][emoji2097][emoji13]
NB. Shukrani kwa Mungu: Sms za "Wazee wanasema" zinatimiza miaka 5 tangu nianze kuandika nakurekodi kwa video= una maoni text number 0755444471*. Siku njema[emoji2][emoji1488]
"
***********
Labda uwe ume copy na wewe bila kujua chanzo halisi ni kipi.
Yuko vizuri napenda sana content zakeAndiko hili ni mali ya Padre Prosper Kessy.

Hujatoa shout out kwa Padre then unapenda content zake! Real?. Watu tunajua umeumiza kichwa kumbe umehamisha kutoka sehemu!Yuko vizuri napenda sana content zake
Unajuwa kuumiza kichwa na kuumiza mwili ni tofautiHujatoa shout out kwa Padre then unapenda content zake! Real?. Watu tunajua umeumiza kichwa kumbe umehamisha kutoka sehemu!