Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo, Watumiaji wengi tunajiuliza kwa nini Serikali kupitia TANROADS hawalifanyi kazi hili tatizo?
Tunaumia sana sisi tunaopita katika barabara hiyo au mpaka siku isababishe madhara makubwa yanayohusisha Watu wengi au watu maarufu ndio hatua zitachukuliwa?
Attachments
WhatsApp Image 2025-07-08 at 08.01.22_167a3c7a.jpg
Maeneo mengi barabara zimechakaa sana hiyo ni cha mtoto, njoo Barabara ya Arusha Singida ukipita Babati hapo katikati unaweza kuchomoka mabega kwa kukwepa mashimo!
Tabu sana hiyo barabara serikali inakusanya pesa nyingi sana kupitia zao la kokoa wilayani kyela na zote zinapitishwa hapohapo ni kero ya miaka mingi sana
Tabu sana hiyo barabara serikali inakusanya pesa nyingi sana kupitia zao la kokoa wilayani kyela na zote zinapitishwa hapohapo ni kero ya miaka mingi sana