A Anonymous Guest Jan 25, 2024 #1 Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.