Sina sababuToa
Sababu
๐ ๐ ๐Hahahaha Kama mbunge wenu ni ccm sahauni
Mkuu hiyo barabara kutoka Nangulukulu hadi Liwale bado tu?Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii๐๐๐๐View attachment 3294291
Kwa Liwale Barabara zitakazo leta mapinduzi ni Kuunganisha Lami hadi Nangurukuru, then Liwale tu Morogoro.Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii๐๐๐๐View attachment 3294291