Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika

Wacha uongo. Nimepita Leo hapo saa 12 asubuhi ishafunguliwa.
 
Nimegundua nabishana na Punga! Wenye site hawakufungua barabara kwasababu waliambia wasubiri Uzinduzi, wewe unakimbilia kubisha; wameifungua baada ya kuambiwa wafungue wewe unakuja kubisha bisha! au unataka hadi tukuwekee audio ya simu ya kuelekzwa kufungua?
HATA MIMI NIKO CCM KAMA WEWE!
Ila siyo mjinga mjinga Kama wewe! na laiti ningekuwa katibu wa CCM ningekupokonya kadi haiwezekan chama kikafuga wajinga wanaoshangilia hata penye maumivu
Sasa matusi ya nini jomba? Kama mada imekushinda, omba poo uondoke au nyamaza.

Unaanza kuleta mambo ya uanachama.

Wewe unaleta mawazo yako mgando kuwa waliambiwa wasifungue. Huna ushahidi wowote. Propaganda tu. Unapewa maelezo na video juu bado unabisha.

Video inaonyesha bila chenga na wananchi wamehojiwa, na ukiangalia hiyo video mistari ya barabarani kweli haipo. Hivyo maelezo yao yanaendana na tunachoona.

Imefunguliwa ndani ya muda waliosema na wakiwa wamefanya kitu walichosema watafanya.

Kama ingekuwa ni kwa ajili ya kampeni, kungekuwa na kakisherehe pale cha uzinduzi. Wagombea wange kuwepo kutafuta sifa pale. None of those happened, we bado una ng'ang'ania hoja yako ya ovyo.

Sijui unatafu points humu na likes. Embu nenda kwenye group zako za whatsapp kule tuache GREAT THINKER TUJADILI MAMBO YENYE MISHIKO.
 
Wenye mashiko wakiitwa na wewe unatoka?
 
Wenye mashiko wakiitwa na wewe unatoka?
Ehh, unaanza mipasho, hivi we mwanamke au mwanaume?

Kwa heri ndugu yangu. Maana naona sasa, tunaelekea pabaya. Yaishe. Chukua bia kwa mangi hapo, mwambie isha lipiwaaa (Kwa sauti ya Pemba).

JAMII FORUM GREAT THINKERS.
 
Eneo la kipande Cha barabara lililopo Kigamboni baada ya kuvuka daraja la mwl Nyerere linaonekana kukamilika lakini bado barabara hiyo imefungwa kusubiri uzinduzi wa kisiasa ilihali wanainchi wanaendelea kupata tabu!

SIjui tungekuwa na hili hapa tungezindua kwa siku ngapi

1622374683616.png
 
Back
Top Bottom