Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Too short too long๐๐Utelezi
๐๐Too short too long๐๐
Mkuu umesahau kutuwekea japo ka picha.......Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua.
Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala hawafuatilii hali inavyozidi kuwa mbaya, hawa wakiambiwa hakuna wanachofuatilia.
Si bora hiyo ya madale ina lami lakini mbezi kuelekea Msumi ni kiama mkuu.Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua.
Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala hawafuatilii hali inavyozidi kuwa mbaya, hawa wakiambiwa hakuna wanachofuatilia.
Wewe unatuletea habari za barabara ya lami wakati wale wa Msumi, Mbopo, Makabe na Mpiji Magoe huwasemei ni kama uchuro tu. Ni bora hao wenye lami kuliko wale wanaocheza rumba masaa matatu njiani. Kwanini mchanga kwenye lami unakwamisha kitu gani?Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua.
Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala hawafuatilii hali inavyozidi kuwa mbaya, hawa wakiambiwa hakuna wanachofuatilia.