Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 131
- 378
Ukija kivule utazimiaSijui wananchi wa Mpinji Magoe wamewakosea nini serikali ya CCM? barabara kwa ubaya inashika namba moja mkoa wa DSM, HALI NI YA HATARI SANA!!!!!! Kwa mguu , kwa gari , baiskeli, bajaj na bobaboda hali ni mbaya sana !!! sina hakika ila nasikia ndiyo bara bara pekee kwa dsm ina wanufaisha wakubwa na kwamba cheni ni ndefu... yaani imeanzia HAZINA MPKA MWENYEKITI WA MTAA, KILI BAADA YA MIEZI 6 WATU WANA PIGA MSHINDO NA KUGAWANA FEDHA,!!! BASI JAMANI INATOSHA !!!!
Anaitwa Mtemvu. Ni mbunge kutoka CCMHIVI MBUNGE WA HUKO NI NANI?
ova
Mpigi ni nyoko kule nina viwanja ila siendi Wala sitajenjaHabari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.
Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.
Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.
View attachment 2806309View attachment 2806310
Tulieni...tukianza kampeni za Serikali za Mitaaa tutawafikiria.Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.
Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.
Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.
View attachment 2806309View attachment 2806310
Barbara nyingi jijini ni mbovu mfano kibamba kwa mangi ukielekea kwa mpemba au mdidimua sijui hata kama manispaa wanajuaHabari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.
Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu sana na wenye Mamlaka wako kimya wananchi tunateseka mno.
Tumejaribu kufikisha kero Ofisi za Serikali ya Mtaa lakini hakuna msaada wowote tunaopata.
View attachment 2806309View attachment 2806310
Me pia nna plot huko ,Nasubiri barabara ijengwe kwanzaMpigi ni nyoko kule nina viwanja ila siendi Wala sitajenja
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
HamaaaaaHabari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa.