KERO Barabara ya Mbezi Luis kwenda Mpigi Magoe ni mbovu sana, Wananchi tunateseka jamani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mbunge wa huko sijui ni nani, nasikia alihamisha lami kwenda kwake Kibamba badala ya barabara hiyo.
 
Mbunge wa huko sijui ni nani, nasikia alihamisha lami kwenda kwake Kibamba badala ya barabara hiyo.
Hiyo barabara ilikuwa ijengwe kwa lami kuendeleza ile barabara ya Mbezi Kinyerezi. Kilichotokea sasa..... lami imepelekwa Kibamba Chama kwenda Kibwegere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…