Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa

Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa

try me

Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
16
Reaction score
11
Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika.

Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo.
Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize miezi miwili kama mlivyofanya wakati mnatifua.

Kwakuwa haya mawe yamezuiq njia jitahidini yasikae muda mrefu ili njia yetu japo ya kupita kwa miguu iwepo.


Pia soma ~ Mgombea wa Mtaa wa Sabasaba - Singida turekebishie barabara yetu
 
Unaongelea barabara ipi ya sabasaba, ni hiyo nyuma ya sekondari ya senge au hiyo pembeni mwa shule za msingi za sabasaba na bomani?
 
Back
Top Bottom