KERO Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani Pemba ni hatari kwa usalama wa Watumiaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ymar

New Member
Joined
Jun 10, 2025
Posts
3
Reaction score
3
Your browser is not able to display this video.
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu.

Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo.

Tunaomba Mamlaka zinazohusika sishughulikie kuboresha Miundombinu hiyo, kwani hali ilivyo sio salama hata kidogo.



​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…