Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Bango linaonesha walitakiwa kukamilisha kazi mwezi huu (May 2013). wamefungua njia moja nyingine wamefunga wakati hafanyi kazi yeyote.. wameshatuchosha sana hawa jamaa.bandugu,haya mambo inabidi uwe na imani ya kipofu kuona..ukitaka soma bango la mradi liko mwenge hapo
au utafute info TANROADS....
Mkuu kalisome upya bango. Tarehe imebadilika. Ni August 31st.Bango linaonesha walitakiwa kukamilisha kazi mwezi huu (May 2013). wamefungua njia moja nyingine wamefunga wakati hafanyi kazi yeyote.. wameshatuchosha sana hawa jamaa.
Bango linaonesha walitakiwa kukamilisha kazi mwezi huu (May 2013). wamefungua njia moja nyingine wamefunga wakati hafanyi kazi yeyote.. wameshatuchosha sana hawa jamaa.
Habari wandugu, Hii barabara yetu ya Mwenge-Tegeta mbona muda unakwenda bado hatuoni matumaini. Jamaa wapo Tegeta wanajenga daraja at snails pace imeshachukua mwaka mzima. Hapo mwenge napo hata dalili ya kumalizia kile ki daraja hamna. pale Golden Bridge njia panda ya kawe wamejenga upande mmoja bado hawajafungua na hawana mpango wa kufungua. Kwa anayefahamu muda wa kukamilika huu mradi naomba atufahamishe tujue. Kila siku foleni btn Africana na Kunduchi njia panda.Tumechoka kufika majumbani saa sita za usiku na kuamka saa kumi!!!
Mkuu kalisome upya bango. Tarehe imebadilika. Ni August 31st.
Habari wandugu,
Hii barabara yetu ya Mwenge-Tegeta mbona muda unakwenda bado hatuoni matumaini. Jamaa wapo Tegeta wanajenga daraja at snails pace imeshachukua mwaka mzima. Hapo mwenge napo hata dalili ya kumalizia kile ki daraja hamna. pale Golden Bridge njia panda ya kawe wamejenga upande mmoja bado hawajafungua na hawana mpango wa kufungua. Kwa anayefahamu muda wa kukamilika huu mradi naomba atufahamishe tujue. Kila siku foleni btn Africana na Kunduchi njia panda.Tumechoka kufika majumbani saa sita za usiku na kuamka saa kumi!!!
Nimetonywa kuna mvutano kati ya mkandarasi, wacoraji na wasimamizi wa mradi, na TANROADS kwa pande tatu.August si ndo hii, kuna matumaini ya kuisha hiyo 31st?
Nimetonywa kuna mvutano kati ya mkandarasi, wacoraji na wasimamizi wa mradi, na TANROADS kwa pande tatu.
Kazi iko chini ya kiwango cha uchoraji na hata usimamizi.
kuna sehemu zitarudiwa kwa gharama za mkandarasi.
Kiujumla usanifu wa kazi yenyewe ni mbaya na sijui TANROADS walikuwa wapi, kuuziwa mbuzi kwenye kiroba!
Kwa kweli kama kuna barabara ambayo tunaibiwa tunaona na ambayo inaleta mateso kwa watanzania ukiacha hiyo ya Morogoro ni hii. Sielewi hata aliyebuni hivyo vituo vya daladala alifikiri nini! Kwa kweli "Za wajinga huliwa mwerevu" Wabongo hatujitambui!!!
Vile vituo ni vyembamba sana, kwa hawa vichwa maji wanaoendesha madaladala, foleni na ajali havitakwepeka.
Afu sioni service road kwenye baadhi ya maeneo.
Nadhani walimaanisha 31 August 2014. Tuendelee kuvuta subira.August si ndo hii, kuna matumaini ya kuisha hiyo 31st?