Barabara ya njia nane- Dar - Kibaha yakwama. Serikali yakanusha

Taahira wewe pimbi!
 
Miundombinu ya usafri alikuwa anaiweza magufuli tu! Hii wizara ni ngumu sana
Ujenzi ujenzi ujenzi unahitaji akili kubwa tena akili ya kutenda sio siasa
Msukule wa mwendazake kazini.

Hii nchi ina miaka 60 ya uhuru,mwendazake ametawala 5y,wengine 55y,na kabla ya hapo wakoloni. Miaka yote,miundombinu ilikuwa inajengwa. Wakoloni ndio waliojenga miundombinu ya treni unayoiona.

Acha ushamba.
 
Unapata faida gani kupotosha umma!?
 
We bashite umeamua kuzusha mambo ya uongo kuichonganisha serikali ya awamu ya sita na wananchi.

Unajisumbua bure. Hutafanikiwa.

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuongoza nchi vizuri,na miradi yote ya zamani na mipya inayekelezwa kama kawaida.

Hivi karibuni serikali inaenda kujenga madarasa mapya 15,000 katika shule za sekondari nchi nzima bila kuchangisha wananchi. Watoto wote watakaochaguliwa kuanza kidato cha kwanza 2022,wataanza masomo wote pamoja,siyo kwa mafungu mafungu. Haijawahi kutokea katika nchi hii tangu uhuru madarasa mengi hivyo kujengwa na serikali bila kuchangisha wananchi.
 
Unacheka ujinga! Mungu anakuona!
kwani nimesema uongo mkuu.
hawa watu walijutapa sana.
hebu jiulize.
wafanyabiasha waliofungiwa account zao huku mtu anajitapa anatumia hela za ndani.

wakati huo deni linazidi kupanda.

jiwe amefikia kununua hindi la kucho kwa laki moja.
wewe mkuu hata ungekua tajili kiasi gani ungeweza kufanya vile.

ile ni anasa.na hela za za zulma malanyingi zinaishia kwenye anasa.

na ndiomaana unaona police wanaishigi maisha ya shida uzeeni kwasababu kula hela za zulma ujanani.
 
By initiating several major economic projects when the government has no clear source of funds means the government has bitten more than it can swallow.

The government could have got the funds to finance these projects from the multilateral donors but owing to its poor human rights record this seems to be out of question.

The projects will have to ground to halt until when the regime will come to its senses by upholding the fundamental principles of democracy and show respect for human rights.
 
Acha kutetea ujinga nchi hii ni tajiri
 
Huyu Raisi tuliye nae sasa kajenga nini cha ziada? zaidi ya kukamilisha yale yote mazuri aliyoya asisi Hayati John Magufuli.

Magufuli atabaki kuwa Rais bora nyuma ya Nyerere.
 
Pia like daraja la wami kama sijakosea limesimama. Nimepitia hopo juzi juzi hakuna watu site.
 
Wewe una akili kweli?
Miradi imeshindwa kuendelea wakati wa jiwe ana Hangaya
 

 
Kama mapato ni trilioni 1.9 hiyo barabara itajengwa kwa fedha za ndani na itamalizika. Habari fulani ya kukwamisha lakini imeshashindwa tayari.
 
Msigwa kwa taarifa yako ni kwamba kama msemaji wa serikali kuna mambo huyajui kwa sababu yeye anasubiri tu aletewe taarifa kutoka kwa wahusika (spoon feed).

So unapobisha analoeleza mtalaam ni wazi kwamba hujui majukumu na mipaka yako ya kazi.
 
Wamekanusha lakini hamna kandarasi site
 
Sisi tucheke cheke,wahuni wameanza kuhamisha mapipa barabarani na kufanya magari yapate ajari hovyo.ITV Habari 21/12/2021.
Ni miezi mitatu toka Hii Habari ikanushwe.
Msigwa huko uliko najua onaona aibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…