A Anonymous Guest Jan 17, 2025 #1 Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo. Mamlaka ichukue Hatua za haraka kuepusha magari kuzama na kudondoka Your browser is not able to display this video.
Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo. Mamlaka ichukue Hatua za haraka kuepusha magari kuzama na kudondoka Your browser is not able to display this video.