Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha.
Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge ambaye hakufanya lolote kijanja maana watu wamechoka only to give her a seat on another table ππ½ππ½ππ½
Kama Tabata kuko hivo na ni Mjini inakuaje maendeleo ya huko ndanindani au vijijini jamani.