KERO Barabara ya Tambani Mkuranga haipitiki tangu January 2024

KERO Barabara ya Tambani Mkuranga haipitiki tangu January 2024

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa Mkuranga mmekaa kimya.
1717143088135.jpeg
1717143144782.jpeg

1717143181233.jpeg
1717143252131.jpeg

1717143270297.jpeg

1717143307226.jpeg


1717143356762.jpeg


 
Back
Top Bottom