A Anonymous Guest May 31, 2024 #1 Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa Mkuranga mmekaa kimya. Your browser is not able to display this video.
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa Mkuranga mmekaa kimya. Your browser is not able to display this video.