Acha uongo.Hapo watu wa serena hoteli wanatakiwa nao watoe mchango mana wanapita hapo kuelekea hotelini
Kwa sasa pesa ya kutengeneza barabara hatuna. Pesa yote iliyopo ni kwa ajili ya kutengeneza fulana, kanga, kofia na kununua pikipiki na magari ya uchaguzi.Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
Itoshe tu kusema huijui hiyo barabara ya tengeru sokoni- LIT & CDTIAcha uongo.
Serena Hotel ipo mwanzo kabisa (linapoishia Soko, inaanza fensi yao), mita chache kutoka barabarani.
Wala hawafiki kule chini.
Labda ungesema chuo NM-AIST watoe mchango
Nimepiga bodaboda Tengeru - Nambara miaka miwili, utanambia nini?Itoshe tu kusema huijui hiyo barabara ya tengeru sokoni- LIT & CDTI