KERO Barabara ya Tengeru Sokoni kuelekea chuo cha TICD na Chuo cha Mifugo ni mbaya sana

KERO Barabara ya Tengeru Sokoni kuelekea chuo cha TICD na Chuo cha Mifugo ni mbaya sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Man peace

Member
Joined
Sep 11, 2023
Posts
16
Reaction score
24
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
 
Hapo watu wa serena hoteli wanatakiwa nao watoe mchango mana wanapita hapo kuelekea hotelini
 
Hapo watu wa serena hoteli wanatakiwa nao watoe mchango mana wanapita hapo kuelekea hotelini
Acha uongo.

Serena Hotel ipo mwanzo kabisa (linapoishia Soko, inaanza fensi yao), mita chache kutoka barabarani.

Wala hawafiki kule chini.

Labda ungesema chuo NM-AIST watoe mchango
 
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
Kwa sasa pesa ya kutengeneza barabara hatuna. Pesa yote iliyopo ni kwa ajili ya kutengeneza fulana, kanga, kofia na kununua pikipiki na magari ya uchaguzi.

Kama hamtaki kukaa tengeru kwa sababu ya barabara mbovu basi malori yapo tutawahamishia msomera, handeni kwenye barabara nzuri
 
Acha uongo.

Serena Hotel ipo mwanzo kabisa (linapoishia Soko, inaanza fensi yao), mita chache kutoka barabarani.

Wala hawafiki kule chini.

Labda ungesema chuo NM-AIST watoe mchango
Itoshe tu kusema huijui hiyo barabara ya tengeru sokoni- LIT & CDTI
 
Itoshe tu kusema huijui hiyo barabara ya tengeru sokoni- LIT & CDTI
Nimepiga bodaboda Tengeru - Nambara miaka miwili, utanambia nini?

Ukitoka hapo Tengeru (bank ya CRDB), mbele kidogo kuna Garden Lodge.

Mbele kidogo inaanza fensi ya Serena Hotel.

Then mbele zaidi unakutana na geti la CDTI.

Ukivuka hilo geti ndio barabara ya mawe, mabonde inaanza.

Mpaka unaenda kutokea kule geti la pili upande wa Nambara.

Serena Hotel hawahusiki hapo.
 
Back
Top Bottom