KERO Barabara ya Toka Musoma kwenda Sirori Simba/Mugumu haijafikia asilimia 30 tangu ianze kujengwa

KERO Barabara ya Toka Musoma kwenda Sirori Simba/Mugumu haijafikia asilimia 30 tangu ianze kujengwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike.

Tena barabara yenyewe haikuanzia Musoma. Ilanzia mbele kidogo ya Zero zero. Hadi sasa hivi imefikia Masurura ambapo ni karibu 20% ya barabara yote. Naomba kuuliza TANROADS hiyo barabara mtaimaliza lini?
 
Back
Top Bottom