Hizi hukuIlisikika sauti "Shikilieni picha ili mpigwe picha,hakikisheni sura zenu hazionekani" wakasahau kuficha miguu😀😀Ukute hela za ujenzi zimeshaingia mifukoni mwa wajanja. Sasa mkandarasi anashindwa kuendelea na ujenzi bila kulipwa.
Weka evidence tuona mtu wa maana kabisa😃Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika.
Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani.
Kama saivi imefungwa siku ya tatu na hamna kazi inaendelea, wahusika tafadhali walitazame hili wananchi wanateseka.
Asante
Nchi ina wajinga sana hii mkuu.
Wajinga hawawezi kuisha ila wajinga namba 2 ni hao wanaofunga barabara halafu hawaitengenezi wanakula bata kwanza mpaka hela iishe yote ndio waje kuweka magepu magepu baadae muwaite waje kufukia viraka kwenye mashimo barabara ishakua mbovu haifahi mnakumbuka miaka 2/3 nyuma kuna wapuuzi walifanya ujinga wao hapoNchi ina wajinga sana hii mkuu.
Ndio, na haya yanafanyika kwa vile hakuna wafuatiliaji. Ingekuwa Rwanda huu ujinga usingetokea.Wajinga hawawezi kuisha ila wajinga namba 2 ni hao wanaofunga barabara halafu hawaitengenezi wanakula bata kwanza mpaka hela iishe yote ndio waje kuweka magepu magepu baadae muwaite waje kufukia viraka kwenye mashimo barabara ishakua mbovu haifahi mnakumbuka miaka 2/3 nyuma kuna wapuuzi walifanya ujinga wao hapo
Hakuna mtu anasema kabisa ataniuliza nani sawa hata akiniuliza atanifanya nini? Hana cha kunifanya anakwangua mpunga huyooo club akale bata kwanzaNdio, na haya yanafanyika kwa vile hakuna wafuatiliaji. Ingekuwa Rwanda huu ujinga usingetokea.