Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo?
Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini wahusika wamekaa kimya bila kujali sisi wapita njia. Wameenda mbali na kusema hakika watamkumbuka daima hayati Raisi wetu kipenzi Magufuli.
Inasikitisha Sana kuona nchi jirani zetu haya Mambo huwezi yakuta kwanini kwetu watu hawajali wako ofisini tuu wanacheza na viti vya kuzunguka. Wadau walioko Mwanza bisheni hili Kama kweli Mwanza taa za barabarani zinawaka.