kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,115
- 1,105
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi kuwafikia wote.
Kwa ujumla mji wa Kahama umechangamka Sana kibiashara kila angle zote za mji, Kati ya mji pembezoni uko km unaelekea migodi ilipo unaona kabisa dalili ya pesa iyo.
Kahama wakazi kuingia dukani na Kuomba punguzo la bidhaa kwao hilo hakuna ni mwendo wa kununua tu,jamaa wanamzunguko mzuri Sana wa kiuchumi...Kwa sasa nahisi unachangiwa Sana migodi midogo midogo pamoja na mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda.
Lakini Cha kushangaza jamani Kahama barabara ni mbovu balaah.
Najaraibu kuwauliza wakazi wa mji wao wanawatupia lawama madiwani na mbunge wao Kishimba Kwa kushindwa kuwaletea barabara nzuri ingawa halmshauri wa mji wa Kahama kuwa na makusanyo makubwa Sana kulinganisha na halmshauri za miji mingine, lkn miundombinu Yao ni mibovu kuliko...
Jamani chonde chonde mji wenu ni mzuri Kwa Uwekezaji lkn miundombinu ya barabara ndo changamoto....