Sanaa tu,tmk,tandika,kiwalani,yombo mkeka mfululuuuuuMbona mitaa yetu uswaz lakini tulipigiwa mkeka kwengine zege
Hebu warekebishe miundo mbinu ya huko...
Au wanataka barabara huko ziwe kama wakati wa 80s
Ova
Barabara ni mbovu miji yote na highways zote nchini.
Kwa ujumla awamu ya 6 imefeli sana
duh! humo nchani!!!Wamejitahidi kuweka lami pande hizo
View attachment 3062810
Huku toka wamebadili matumizi ya ardhi kumekuwa kwa kijinga mnoKiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.
Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.
Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.
Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.
Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?
Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.
Pia soma
Kapicha mkuu, nione DMDP ilivyofanya mamboBuza ipi? labda za mitaani ila buza wana barabara nzuri mnoo,jumlisha temeke,Yombo karibu yotena kiwalani tena hizi tuna barabara za viwango mpk mitaani kwetu wale wezi wakisolola wanateleza tu shwaaaaaaaaa.....na boda tulipata ofa za Miradi ya WB broo
Wee sio wa buza weweee
Sema wa Kivule,mwanangati,msongola,kitunda humo ndo hovyoo kabisa kama wamelaaniwa vile
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio umejua leo?Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.