KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hata kinondoni yangu ina miundombinu mbinu mizuri kuliko masaki obay

Ova
 
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.

Pia soma
Huku toka wamebadili matumizi ya ardhi kumekuwa kwa kijinga mno
 
Buza ipi? labda za mitaani ila buza wana barabara nzuri mnoo,jumlisha temeke,Yombo karibu yotena kiwalani tena hizi tuna barabara za viwango mpk mitaani kwetu wale wezi wakisolola wanateleza tu shwaaaaaaaaa.....na boda tulipata ofa za Miradi ya WB broo
Wee sio wa buza weweee
Sema wa Kivule,mwanangati,msongola,kitunda humo ndo hovyoo kabisa kama wamelaaniwa vile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kapicha mkuu, nione DMDP ilivyofanya mambo
 
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.

Pia soma
Ndio umejua leo?
 
Ndio umejua leo?
Hapana nilikuaga sijakereka vizuri hadi kuandikia uzi. Inashangaza sana maeneo muhimu kama haya ambayo yanabeba taswira ya taifa kuwa na miundombinu ya hovyo kiasi hiki
 
Acha tusindikize na picha

Ova
 
Attachments

  • 20241019_110753.jpg
    20241019_110753.jpg
    470 KB · Views: 3
  • 20241019_105347.jpg
    20241019_105347.jpg
    476.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom