KERO Barabara za Masaki na Oysterbay zimechoka mno, haziendani na hadhi yake na zinafedhehesha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.

Pia soma
Mzee maaron,usifikirie SERIKALI hailioni hili,ila nakuhakikishia,,,,,wakianza kujenga utasikia kelele kutoka kwa sisis choka mbaya tunaoishi BUZA,KEKO,YOMBO,KIPUNGUNI n maeneo kama hayo nchinzima!!! utasikia "oooooooh,wao wanajiona bora ru,oooh kila ki2 wanataka kiwe kwao" binadamu haridhiki ndo manake , SERIKALI yetu inaona ngoja wamalize miundo mbinu ya maeneo ya sisi malofa ndo wao wawe wa mwisho!!!
 
Attachments

  • 20220627_122524.jpg
    20220627_122524.jpg
    3 MB · Views: 4

Nilirudi likizo nyumbani nikaangalia barabara kwa kweli ni aibu.

Nikafikiri labda ni barabara za pembeni tu.

Basi kulikuwa na issue ya simu (landline), nikaenda kufuatilia pale ofisi za posta (kona ya Haile Selassie na Karume Road), nilivyofika pale, katikati ya Oysterbay, hapo shule ya msingi Oysterbay ilipo, nyumbani kwa Bakhressa, nyumba za kibalozi, nyumba za viongozi wa kitaifa na wastaafu, halafu barabara mboovu, zina mashimoo, zinaonekana hazijatengenezwa kwa miaka na miaka. Mpaka watu kama washazoea.

Nikasema, hii ndiyo Oysterbay? Mbona nasikia Magufuli katengeneza barabara sana?
 
Mzee maaron,usifikirie SERIKALI hailioni hili,ila nakuhakikishia,,,,,wakianza kujenga utasikia kelele kutoka kwa sisis choka mbaya tunaoishi BUZA,KEKO,YOMBO,KIPUNGUNI n maeneo kama hayo nchinzima!!! utasikia "oooooooh,wao wanajiona bora ru,oooh kila ki2 wanataka kiwe kwao" binadamu haridhiki ndo manake , SERIKALI yetu inaona ngoja wamalize miundo mbinu ya maeneo ya sisi malofa ndo wao wawe wa mwisho!!!
Hata huko zinatakiwa zijengwe.

Kuna namna ya kuanza na barabara muhimu zote, kuanzia Oysterbay mpaka Temeke.

Ukifanya hivyo, hakuna atakayelalamika.

Na usiseme hakuna hela. Ni vipaumbele na wizi tu.
 
Mzee maaron,usifikirie SERIKALI hailioni hili,ila nakuhakikishia,,,,,wakianza kujenga utasikia kelele kutoka kwa sisis choka mbaya tunaoishi BUZA,KEKO,YOMBO,KIPUNGUNI n maeneo kama hayo nchinzima!!! utasikia "oooooooh,wao wanajiona bora ru,oooh kila ki2 wanataka kiwe kwao" binadamu haridhiki ndo manake , SERIKALI yetu inaona ngoja wamalize miundo mbinu ya maeneo ya sisi malofa ndo wao wawe wa mwisho!!!
Mbona mitaa yetu uswaz lakini tulipigiwa mkeka kwengine zege
Hebu warekebishe miundo mbinu ya huko...
Au wanataka barabara huko ziwe kama wakati wa 80s

Ova
 
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo.

Mashirika na taasisi karibu zote za kimataifa zipo huko. Pia makazi ya viongozi wote wa juu wa nchi. Wageni karibu wote wenye hadhi huwa ni lazima wafike maeneo hayo eidha kikazi au kijamii na burudani maana viwanja vyote vikubwa vya bata vipo huko na wageni mashuhuri wanaenda huko.

Ukiacha barabara ya coco beach (Toure drive) ambayo ilitengenezwa kwa hadhi nzuri na mwendazake, barabara nyingine zote ni aibu na fedheha.

Barabara ni nyembamba mno licha ya maeneo hayo kuwa na road reserve kubwa, pia barabara zina mashimo,viraka na vumbi la kutosha sababu ya kutofanyiwa usafi.

Hivi serikali haioni hii aibu? Haya maeneo ndio yalitakiwa yabebe sura na taswira ya jiji kwa miundombinu bora, hivi mwendazake nae asingetengeneza hii Toure drive si ndio ingekua kituko?

Mnapita humu kila siku ila hamuoni, kweli mwendazake alikua na maono aisee.

Pia soma
Kumekua Kama Sinza ya 90s
 
Wakubwa wanapita coco beach,waswahili ndo wanajuta na tozo zao
 
Hata pale fitness karibia na petrol station palikua hapafai, naona wameparekebisha.
kuanzia chole hadi masaki mwisho kuna sehem kama 3 hivi nako ni pabovu sana.
 
Njoo Msumi ujue barabara hiyo ni muzurii
Daah yaani huko tangu mvua za masika hata greda tu hawataki kupitisha watuchongee kuanzia pale kanisani mwanza garage ifike hata kavimbilwa tu. Maana ukifika tu hapo mwanza garage ni kisanga unaweza tamani ubebe gari mgongoni. Hizo hela za DMDP sijui zinakuja lini
 
Kuweni wavumilivu na sisi wa Buza tujengewe kwanza.
Buza ipi? labda za mitaani ila buza wana barabara nzuri mnoo,jumlisha temeke,Yombo karibu yotena kiwalani tena hizi tuna barabara za viwango mpk mitaani kwetu wale wezi wakisolola wanateleza tu shwaaaaaaaaa.....na boda tulipata ofa za Miradi ya WB broo
Wee sio wa buza weweee
Sema wa Kivule,mwanangati,msongola,kitunda humo ndo hovyoo kabisa kama wamelaaniwa vile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom