Nimeenda kumtembelea shangazi yangu yupo kimanga; aiseee! Sikuwai kuona barabara mbovu kama ile. Yaani ni siyo kwa mashimo yale. Binafsi kichwa, mgongo na kiuno vinauma. Sasa nikawa najiuliza, huku mimba hazichoropoki? Watoto dish zao (akili) haziyumbi? Vyombo vya moto navyo haviko salama hata kidogo.
Laiti shangazi angekuwa amepanga basi tungemshauri ahame.
Laiti shangazi angekuwa amepanga basi tungemshauri ahame.