ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Aug 18, 2022 #1 Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,081 Reaction score 4,224 Aug 18, 2022 #2 ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Tanga zimejaa tele. Mbeya pale uyole kuna lami ya mjeruman
ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Tanga zimejaa tele. Mbeya pale uyole kuna lami ya mjeruman
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,417 Reaction score 3,590 Aug 18, 2022 #3 Arusha to Moshi 1952
dr samg JF-Expert Member Joined Jul 22, 2012 Posts 292 Reaction score 163 Aug 18, 2022 #4 ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidi
ndege JOHN said: Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma. Click to expand... Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidi
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Aug 23, 2022 #5 Morogoro mitaa ya mji mpya