ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga zimejaa tele. Mbeya pale uyole kuna lami ya mjerumanWakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidiWakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.