Ni yeye huyo... ingawaje sifahamu alikuwa na umri gani but it's 1987...mmh hebu ngoja intellegensia ifike ni yeye kweli coz Gugo ziku hizi ni shida.
Namhala upo? Mhala kaya yako?Safi sana jamaa anayajua maisha ya kimagharibi na kiafrika. Ndio maana anaheshimu kila mtu!
Namhala upo? Mhala kaya yako?
Mhola baba kenehe abayuka nu nsike
Ni yeye, nakumbuka wakati ule anapata urais hizi picha ndio zilizagaa katika mitandao
Yes! He is the one! He deserves to be a president bscause he loves his country and his people!
Picha ishakudanganya tayari...ndio maana mzungu hapati shida kumtawala mwafrika kwa sababu mtu mweusi hana muda wa kufikiria mambo kwa kina!.. toka mwaka 87 hajaenda kenya then anaitwa anaipenda kenya!..hizo picha kazipiga sababu alikua anajua atakuja kuzitumia tu na ndo alichofanya alipozitoa hizo kipindi cha kampeni kila mtu alimuona obama kama mtu tofauti. Huyo mmarekabi hana mapenzi yoyte na kenya wala africa na watu wake msijidanganye

Mkuu nadhani mwaka 2006 pia uyu jamaa alifika tena Kenya.
Labda tungejiuliza je tunataka aje Kenya kufanya nini?aje kutembelea kama anaenda matembezi ya sikukuu au?ajenge ikulu ndogo ya US awe anapatembelea na kufikia hapo, ama aende uko kijijin kwa bibi yake akakae nae?????Rais hajiamuliii tu kua ngoja niende mahali fulani, rais ana ratiba ya ziara zake, je tunataka kila weekend awe anaenda Kenya ili tujue yeye ni African American?? ama tunataka aifanye Kenya ni sehemu ya Marekani????????
Ni mawazo yngu tu.

Picha hazijanidanganya chochote, najua Obama ni mmarekani mwenye asili ya Kenya, lakini hajaenda Kenya kwa sababu ya unafiki walioonyesha watawala wa Kenya baada ya uchaguzi wa 2007. Ninachosema anaipenda nchi yake anayoiongoza. Kama wakenya wenyewe hawaonyeshi mapenzi na nchi yao unataka Obama ndo awasaidie kuipenda Kenya?
Lazima awaache mpaka hapo watakapoonesha uzalendo Kwanza, Kitu ambacho wameshashindwa!
Mkuu hvi jamaa wa magogoni ziara zake zipo kwenye ratiba au yeye mwenye ndiyo anaejipangia aende wapi leo?