Barack Obama akiwa na miaka 26

Barack Obama akiwa na miaka 26

Mr. Wise

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
7,733
Reaction score
6,469
Muonekano wa rais Barack Obama alipotembelea kijijini kwao Kenya. Nadhani baadhi ya hawa jamaa ktk picha hizi kama wapo hai basi watakua wamezifanya kumbukumbu kua walipiga picha na president before hajawa president.

obama-africa-kenya.jpg View attachment 222802 View attachment 222803 View attachment 222804

obama-in-kenya-e1418250059937.jpg obama-smiling-africa.jpg View attachment 222807 obama-alone-africa.jpg

obama-family-happy.jpg
 
mmh hebu ngoja intellegensia ifike ni yeye kweli coz Gugo ziku hizi ni shida.
 
Safi sana jamaa anayajua maisha ya kimagharibi na kiafrika. Ndio maana anaheshimu kila mtu!
 
Ni yeye, nakumbuka wakati ule anapata urais hizi picha ndio zilizagaa katika mitandao

Yes! He is the one! He deserves to be a president bscause he loves his country and his people!
 
Picha ishakudanganya tayari...ndio maana mzungu hapati shida kumtawala mwafrika kwa sababu mtu mweusi hana muda wa kufikiria mambo kwa kina!.. toka mwaka 87 hajaenda kenya then anaitwa anaipenda kenya!..hizo picha kazipiga sababu alikua anajua atakuja kuzitumia tu na ndo alichofanya alipozitoa hizo kipindi cha kampeni kila mtu alimuona obama kama mtu tofauti. Huyo mmarekabi hana mapenzi yoyte na kenya wala africa na watu wake msijidanganye
 
Picha hazijanidanganya chochote, najua Obama ni mmarekani mwenye asili ya Kenya, lakini hajaenda Kenya kwa sababu ya unafiki walioonyesha watawala wa Kenya baada ya uchaguzi wa 2007. Ninachosema anaipenda nchi yake anayoiongoza. Kama wakenya wenyewe hawaonyeshi mapenzi na nchi yao unataka Obama ndo awasaidie kuipenda Kenya?
Lazima awaache mpaka hapo watakapoonesha uzalendo Kwanza, Kitu ambacho wameshashindwa!
 
Mkuu nadhani mwaka 2006 pia uyu jamaa alifika tena Kenya.
Labda tungejiuliza je tunataka aje Kenya kufanya nini?aje kutembelea kama anaenda matembezi ya sikukuu au?ajenge ikulu ndogo ya US awe anapatembelea na kufikia hapo, ama aende uko kijijin kwa bibi yake akakae nae?????Rais hajiamuliii tu kua ngoja niende mahali fulani, rais ana ratiba ya ziara zake, je tunataka kila weekend awe anaenda Kenya ili tujue yeye ni African American?? ama tunataka aifanye Kenya ni sehemu ya Marekani????????

Ni mawazo yngu tu.
 
Ulitaka mapenz na kenya ayaoneshe vp?? ulitaka alete sukari na mchele kwa wakenya
 
Mkuu nadhani mwaka 2006 pia uyu jamaa alifika tena Kenya.
Labda tungejiuliza je tunataka aje Kenya kufanya nini?aje kutembelea kama anaenda matembezi ya sikukuu au?ajenge ikulu ndogo ya US awe anapatembelea na kufikia hapo, ama aende uko kijijin kwa bibi yake akakae nae?????Rais hajiamuliii tu kua ngoja niende mahali fulani, rais ana ratiba ya ziara zake, je tunataka kila weekend awe anaenda Kenya ili tujue yeye ni African American?? ama tunataka aifanye Kenya ni sehemu ya Marekani????????

Ni mawazo yngu tu.

Mawazo yako potofu wewe kwa baba yako unaenda kila baada ya miaka mingapi!..
 
Mkuu nadhani mwaka 2006 pia uyu jamaa alifika tena Kenya.
Labda tungejiuliza je tunataka aje Kenya kufanya nini?aje kutembelea kama anaenda matembezi ya sikukuu au?ajenge ikulu ndogo ya US awe anapatembelea na kufikia hapo, ama aende uko kijijin kwa bibi yake akakae nae?????Rais hajiamuliii tu kua ngoja niende mahali fulani, rais ana ratiba ya ziara zake, je tunataka kila weekend awe anaenda Kenya ili tujue yeye ni African American?? ama tunataka aifanye Kenya ni sehemu ya Marekani????????

Ni mawazo yngu tu.

Mkuu hvi jamaa wa magogoni ziara zake zipo kwenye ratiba au yeye mwenye ndiyo anaejipangia aende wapi leo?
 
Picha hazijanidanganya chochote, najua Obama ni mmarekani mwenye asili ya Kenya, lakini hajaenda Kenya kwa sababu ya unafiki walioonyesha watawala wa Kenya baada ya uchaguzi wa 2007. Ninachosema anaipenda nchi yake anayoiongoza. Kama wakenya wenyewe hawaonyeshi mapenzi na nchi yao unataka Obama ndo awasaidie kuipenda Kenya?
Lazima awaache mpaka hapo watakapoonesha uzalendo Kwanza, Kitu ambacho wameshashindwa!

Unazungumzia baada ya 2007 na sio 1987? Mara ya mwisho kutembelea nchi aliyozaliwa mtu aliyemzaa na aliyemzaa baba yake?..basi tunajadili vitu viwili tofauti
 
Mkuu hvi jamaa wa magogoni ziara zake zipo kwenye ratiba au yeye mwenye ndiyo anaejipangia aende wapi leo?

Naona upeo wako ni mdogo si bure! Huyo mtu obama hajakanyaga ardhi aliyozaliwa baba yake mzazi karibia miaka 30! Lkn nchi ya asili ya mama yake haipiti miaka 2 bila kwenda!. Mnaposema ana mapenzi na kenya kwa ushahidi wa picha ndipo mnapoonyesha simple mind zenu
 
Back
Top Bottom