Mkuu bisha kwa fact basi,Obama alienda Kenya mwaka 2007,Alienda hadi kwa bibi yake mzaa Baba yake!!
Kipindi hicho alikua Seneto wa jimbo la Honolulu,2009 akawa President wa US!
Tangu azame white house kaja Africa mara 5 tu! Ghana,Tanzania,Senegal,South Africa mara mbili!!
Ziara za wenzetu lazima bunge la congress wapitishe ndo asafiri,na lazima wajue kabisa,kama ziara yake itarighalimu taifa Shs 5,basi lazima wapate faida ya hiyo ziara walau Tshs 10!
Nambie ni lini Obama kaenda Indonesia?? Maana Mama yake ndo Asili yake!
Sio hapa kwetu,Mkulu akiamua sasa hivi kwenda Bagamoyo anaenda zake tu,na njia zinafungwa!