Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
- Thread starter
- #21
Mawazo yako potofu wewe kwa baba yako unaenda kila baada ya miaka mingapi!..
Labda umesoma maelezo yangu ukashindwa kuelewa nilichokiongea, Je unataka aende kwa baba yake kufanya nini,je unataka aifanye Kenya kua part ya Marekani ili ujue kua anaipenda Kenya???ama kutokwenda kwa baba yake ndio kunamfanya asiwe African-American??
Hoja yangu ni kua Obama ni African-American from Kenya hata kama asingekanyaga Kenya, sasa usimfanye awe mzungu labda kama unataka kutuambia kua baba yake si Mkenya.
Jibu la Swali lako : Mimi kwa baba yangu sijawahi kukanyaga ila haijawahi kunifuta asili ya baba yangu.