mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mkorinto ni mwehu asikusumbue. Mambo ya Obama anajibu kwa hasira . Si hii peke yake kuna Uzi mwingine huko amejaa sumu dhidi ya Obama.
Odhis *
kitulize mzee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkorinto ni mwehu asikusumbue. Mambo ya Obama anajibu kwa hasira . Si hii peke yake kuna Uzi mwingine huko amejaa sumu dhidi ya Obama.
Odhis *
Labda hana nauli
nani anaficha wewe nduza!!!
Hizi hasira zote za nini, na mtakoma naskia mnakutwa na dola mamilioni mumeficha kwenye mifuko, yaani kweli hiyo awamu mlitafuna sio mchezo.
tulitafuta na maendeleo tukafanya,hatuibi kimafia kama kenya.
Mandeleo yapi haswa, kipi mlikamilisha kikaonekana maana SGR bado iko maporini sijui kitu gani huwa mnachimba huko, ATCL ndio hasara imetajwa jameni....korosho wakulima mpaka leo kilio...labda kule Chato kuna runaway ambayo sijui kitu gani kitakua kinatua huko....
Ndezi huyo kwelikweli labda Obama kamkaba kalioni huyo.Mkorinto ni mwehu asikusumbue. Mambo ya Obama anajibu kwa hasira . Si hii peke yake kuna Uzi mwingine huko amejaa sumu dhidi ya Obama.
Odhis *
Anazikwa leo itasemwa lini.Wewe unafyatuka, wapi tumesema ni corona, nimekuambia sisi hatufichi kama mnavyofanya, ikiwa kafa kwa corona itasemwa tu.
Anazikwa leo itasemwa lini.
Huyo atakuwa KAFA KWA CORONA.
Huyo sio private citizen,huyo ni bibi yake wa ALIYEKUWA RAIS WA USA OBAMA na ndio maana vyombo vyote vya habari via kimataifa vimeripoti na hata kuumwa kwake serikali yako ilikuwa inajua.Hehehe kwa namna unavyoshupalia, huyo ni private citizen hivyo tusubiri itasemwa na wahusika, hatuna haki ya kulazimisha kufahamu....
Hujui kama chato kuna national park?? Sikia nikuambie jirani. Sgr ni lazima iishe ATC imepata hasara ya bil 60 while kQ imepata hasara ya bil 700 nani ana hasara zaidi??? Doller 300m unajenga nyumba ngapi pale kibera wanyonge wakaishi kama binadamu wengine?? [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mandeleo yapi haswa, kipi mlikamilisha kikaonekana maana SGR bado iko maporini sijui kitu gani huwa mnachimba huko, ATCL ndio hasara imetajwa jameni....korosho wakulima mpaka leo kilio...labda kule Chato kuna runaway ambayo sijui kitu gani kitakua kinatua huko....
Huyo sio private citizen,huyo ni bibi yake wa ALIYEKUWA RAIS WA USA OBAMA na ndio maana vyombo vyote vya habari via kimataifa vimeripoti na hata kuumwa kwake serikali yako ilikuwa inajua.
Private citzen ni kama wewe hata ukifa,serikali yako tu ya mtaa haikujui ila si bibi yake Obama.
MIMI NA KWAMBIA HUYU KAFA KWA CORONA.