Barack Obama azuia sketi ya mkewe (Michelle Obama) kupepea na upepo

ila heri kuoa sura nzuri bhana mengi tutavumiliana


daa noma sana! Bana!
Baada ya kurudi ktk hali ya umaskini si lazma watuteme tu mkuu! Sisi tutawavumilia ila tatizo lipo kwao ! Penda sana maisha ya juu!

Yaani hawa madem wa kibongo sijui vip!
Ukimtoa kijijini !
Akianza tu kuvijua vimini tayari majanga !
 
kuna enzi flani bhana nilikuwa na kampani ya karibu na hawa wasanii,nikiwa na dem,aaah baada ya mda si akachukuliwa na msanii wa bongo fleva,akaanza kunidharau ile mbaya,nikampotezea mazima,baada ya mda kaachwa anajileta tena na nilishakuwa na mwingine,nilimchinjia baharini.Hawa madem aisee just fu.k everything and run away.
 
Mengejua!! Hayo yote ana act ndoa Yao Muguu nje ndani. Mkewe anasubili uraisi uishe waachane.
 
inaonekana mtam sana

Kila mtu hua ni mtamu kwa mlaji wakee,unaweza kumpata Michelle ukakimbiaa mpaka ukashangaa huyu Obama hapa kang'ang 'ania ninii
 
Kila mtu hua ni mtamu kwa mlaji wakee,unaweza kumpata Michelle ukakimbiaa mpaka ukashangaa huyu Obama hapa kang'ang 'ania ninii
ila kweli ndo hivo,kila mtu na mtamu wake
 
ila kweli ndo hivo,kila mtu na mtamu wake


si umemcheki OBAMA kwenye iyo Picha niliyo ku PM !

Huyuu jamaa ana tamaa kwa kiasi furani ! Na ---e za watu !
 
yule jamaa mwenye kauli mbiu ya "miafrika ndivyo tulivyo" hajaiona hii sredi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…