snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
- Thread starter
- #21
ila heri kuoa sura nzuri bhana mengi tutavumiliana
daa noma sana! Bana!
Baada ya kurudi ktk hali ya umaskini si lazma watuteme tu mkuu! Sisi tutawavumilia ila tatizo lipo kwao ! Penda sana maisha ya juu!
Yaani hawa madem wa kibongo sijui vip!
Ukimtoa kijijini !
Akianza tu kuvijua vimini tayari majanga !