Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 998
- 987
napita tuu
End Justify Mean
End Justify Mean
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pita hapo mkuu utaiona N A J (@najdattani) • Instagram photos and videos
Jamaaa ni mjaruo si msukumaWasukuma kwa wanawake weupe mpaka akili zinahama. Siku akiachwa atakufa kabisa tumzike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simuelewi huyu kijana siku hizi, huko instagrama picha zote yupo na Najma, mara anamla denda, mara kamshika makalio, hata mziki sasa hivi sijui kama anaimba tena. Inabidi arekebike
Demu alimzingua mbaya, mshikaj alikonda kinyama jamaa akaamua kukilipua na kubadili dini....sasa hv hata mziki hajali kabisa yaani...kazi kumpost najma tuu amesahau kwamba mziki ndo ulimfanya akampata Najma, na akikaza kwenye mziki atawapata wengi tu wa namna ile....Basi akumbuke mziki bas
Baracka kuimba anajua..labda tatizo lipo kwenye utunzi....Uchawi wa wanawake ni umaarufu na pesa...ukiwa maarufu utapendwa na kila mwanamke..kusikika kwa baracka ndo kulikomdatisha NajBaraka ze prince ajuagi kuimba anabebwa na media tu,MTU mwenyew mweus kama weli chafu,bora angeigiza movie za kutisha kidogo afadhali,pili #Naj naye cjui kampendea nn huyu kenge