princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Amini kwamba Babalai asee.!!Hatare san
Sikupingi Dingilii..pia pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Kukufungulia account JF.Jamaa ana kipaji
Pongezi kWA awamu ya tano
Likoje chaliangu?Hujashiriki tu shindano lake
Haha nimecheka kifala 😅😅😅Sikupingi Dingilii..pia pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Kukufungulia account JF.
Mkuu! It's Peter Drury and Jimmy Beglin. Hii combination ya hawa jamaa naikubali sanaIt's John champion and jimy beglin
Naaam balabalaa kabisa mkuu umeona eeh..!!Samuel James nae kwenye uchambuzi yuko vyedi sana."Asalaam Alyekum Dar Es Salaam, Asalaam Alyekum Tanzania, Asalaam Alyekum Afrika Mashariki na kati, Asalaam Aleykum Ulimwengu wa soka....Popote pale unapotupata....[emoji120]Karibu sana kwenye Mtanange 'Bab kubwa'...Mtanange wa hadhi kubwa....Mtanange wa watani jadi, wengine huita 'Dabi ya Kariakoo', Wekundu wa Msimbazi Simba, Mfalme wa Nyika na Mabingwa wa kandanda Tanzania, wakikabiliana na Mabingwa wa Kihistoria wa Soka la Tanzania, Young Africans, Timu ya Wananchi....... Tupo Live kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam...Hakika umefanyika Usajili mkubwa kwa timu zote na maandalizi mazito....Nani kuibuka na pointi tatu?, tuna nafasi ya kushuhudia wakali hawa wa Kariakoo wakipepetana Dimbani"....Mimi ni Baraka Mpenja, Sauti ya Radi' mwenzangu ni James Samwel, kuwa nasi kwa dakika tisini za kipute hiki".[emoji56]
Much respected MPENJA[emoji1320][emoji1320]
Very TrueHuyu bwana na kuna yule mwingine anaitwa Kidedea nafikiri.. Wana talanta ya utangazaji.. Ukichangia na darasani basi burudani.
Hahaha Daah ni nouma.'Emanuel mvyekule aamuwekea Habib Haji Kyombo anamwambia mwanangu chukua hio, Habib Haji Kyombooo
happy new year, happy new year wasukuma wanasema waveja kulumpa waveja kulumpa'
alinikosha sana siku hii vyura wanakufa kwa Mbao kirumba
Hahaha Aiseeh..!!Haha nimecheka kifala í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Marin Hassan vipi hamumuoni?