Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidedea huyu huyu anayetangaza mpira kama anasoma juzuu?Huyu bwana na kuna yule mwingine anaitwa Kidedea nafikiri.. Wana talanta ya utangazaji.. Ukichangia na darasani basi burudani.
hawajahi kutuangusha wapenda soccer.Mkuu! It's Peter Drury and Jimmy Beglin. Hii combination ya hawa jamaa naikubali sana
[emoji3][emoji3][emoji3]Pongeze kwa serikali ya ccm
Alan smith and Martin Tyler
1. Mechi ya Mbao Fc vs Yanga goli la kwanza la Habib Haji Kiombo."Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika mbili. hivi).....Haya ni maajabu linafungwa goli gani hili??Macho yako yameona kama mimi.!?...Nauliza Macho yako yameona kama mimi..?!....Nani walisema Simba hawaendi Hatua ya Makundi..!!??".
Mpe neno moja huyu Jombaa ni moja ya Watangaza mpira live bora hapa Bongo kwa era hii kutoka Azam Media.
@ChaliiYaKijengeJuu.
kumbe ni mbaguzi wa dini, why atumie Salam ya kiislam tu , na asichanganye na za kikristo ka wafanyavyo wahombea...?"Asalaam Alyekum Dar Es Salaam, Asalaam Alyekum Tanzania, Asalaam Alyekum Afrika Mashariki na kati, Asalaam Aleykum Ulimwengu wa soka....Popote pale unapotupata....[emoji120]Karibu sana kwenye Mtanange 'Bab kubwa'...Mtanange wa hadhi kubwa....Mtanange wa watani jadi, wengine huita 'Dabi ya Kariakoo', Wekundu wa Msimbazi Simba, Mfalme wa Nyika na Mabingwa wa kandanda Tanzania, wakikabiliana na Mabingwa wa Kihistoria wa Soka la Tanzania, Young Africans, Timu ya Wananchi....... Tupo Live kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam...Hakika umefanyika Usajili mkubwa kwa timu zote na maandalizi mazito....Nani kuibuka na pointi tatu?, tuna nafasi ya kushuhudia wakali hawa wa Kariakoo wakipepetana Dimbani"....Mimi ni Baraka Mpenja, Sauti ya Radi' mwenzangu ni James Samwel, kuwa nasi kwa dakika tisini za kipute hiki".[emoji56]
Much respected MPENJA[emoji1320][emoji1320]
Ni mzuri sana"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika mbili. hivi).....Haya ni maajabu linafungwa goli gani hili??Macho yako yameona kama mimi.!?...Nauliza Macho yako yameona kama mimi..?!....Nani walisema Simba hawaendi Hatua ya Makundi..!!??".
Mpe neno moja huyu Jombaa ni moja ya Watangaza mpira live bora hapa Bongo kwa era hii kutoka Azam Media.
@ChaliiYaKijengeJuu.
Mbona kama wewe ndo mshambaHuwa nikionaga mtu anamsifia huyu jamaa namuona mshamba,kwenye tv hakutakiw kutangazwa vile maneno meng ya nn wakat kila mtu anaona,alipaswa kutangaza hivyo UFM
Tunaomba mechi yetu na wananchi ya tarehe 7 novemba Charles Hilary naye aungane na Huyu Mpenja watangaze mechi hii kwani lile pira biriani linahitaji mtangazaji biriani pia.kwa nyie vijana amvao hamkumsikia Charles enzi zile akitangaza hii iwe fursa yenu"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika mbili. hivi).....Haya ni maajabu linafungwa goli gani hili??Macho yako yameona kama mimi.!?...Nauliza Macho yako yameona kama mimi..?!....Nani walisema Simba hawaendi Hatua ya Makundi..!!??".
Mpe neno moja huyu Jombaa ni moja ya Watangaza mpira live bora hapa Bongo kwa era hii kutoka Azam Media.
@ChaliiYaKijengeJuu.