Baracka Mpenja'Sports Commentator n'nae mkubali zaidi Bongo'

Huyu bwana na kuna yule mwingine anaitwa Kidedea nafikiri.. Wana talanta ya utangazaji.. Ukichangia na darasani basi burudani.
Kidedea huyu huyu anayetangaza mpira kama anasoma juzuu?
 
Sio yule sijui shafia alitoa habari kuwa kocha zahra harudi tena, sijui nini zahera alivyomjibu duh kakaa kimyaaa
 
1. Mechi ya Mbao Fc vs Yanga goli la kwanza la Habib Haji Kiombo.

2.Mechi ya Simba vs Yanga nusu fainali ya AZFC.goli zote nne.

3. Mechi ya Simba vs Nkana Red Devils magoli yote matatu.

4.Mechi ya Simba vs Js Soura goli la Emanuel Okwi.

Funga kazi hizi huwa nazisikiliza mara kwa mara.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Huwa nikionaga mtu anamsifia huyu jamaa namuona mshamba,kwenye tv hakutakiw kutangazwa vile maneno meng ya nn wakat kila mtu anaona,alipaswa kutangaza hivyo UFM
 
kumbe ni mbaguzi wa dini, why atumie Salam ya kiislam tu , na asichanganye na za kikristo ka wafanyavyo wahombea...?
 
Ni mzuri sana
 
Huwa nikionaga mtu anamsifia huyu jamaa namuona mshamba,kwenye tv hakutakiw kutangazwa vile maneno meng ya nn wakat kila mtu anaona,alipaswa kutangaza hivyo UFM
Mbona kama wewe ndo mshamba
 
Tunaomba mechi yetu na wananchi ya tarehe 7 novemba Charles Hilary naye aungane na Huyu Mpenja watangaze mechi hii kwani lile pira biriani linahitaji mtangazaji biriani pia.kwa nyie vijana amvao hamkumsikia Charles enzi zile akitangaza hii iwe fursa yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…