Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Wewe kweli mzaramo na hii sio typing error ndivyo uwezo wako ulivyoPunguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Label gani hiyo mkuu, hata kama hataki promo basi ingejulikana hata kwa kazi zake. Huyo Kiba ni muongo anataka kuwapumbaza mashabiki wake pia. Hivi mtu awe na Label hata mashabiki wake wasiijue hata kwa jina?Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Maajabu mtu kumiliki Label alafu ukahama label yako. Kichaa kama mashabiki wa kiba ndi wanaweza kuamini ulongo huu wa mzee wa tembo. Alafu Rockstar sio ya Ali Kiba ila inamsimamia Ali Kiba, Jaydee, Baraka Prince na wengineo. Acheni kupotoshwa.lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
Bora mkuu umeliona hili, hata kama asingetangaza basi hata ingejulikana kutokana na kazi zake. Kalaghabao.Kutangaza label ni show off? Kama huitangazi label yako nani ataijua ? Nadhan unachoongea sio kweli...
Lebel haitangazwi inajitangaza kama ilikuwepo ilikua inatengeneza bahia???Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.
So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
WABONGO BANA YAAN KUTANGAZA LEBEL NI SHOW OFF!!! SASA UTAFANYA VP MZIKI ILI UTAMBULIKE BILA KUADVATISE LEBEL?Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
Kila mtu na maamuzi yake na kila mtu na chaguo lake.Label gani hiyo mkuu, hata kama hataki promo basi ingejulikana hata kwa kazi zake. Huyo Kiba ni punguani anataka kuwapumbaza mashabiki wake pia. Hivi mtu awe na Label hata mashabiki wake wasiijue hata kwa jina?
Nani kasema zamani?!Hiyo zamani alikuwepo nani?
Tatzo Lao wana comment Huku Wakimfikiriaa Aliyewatengenezeaa Road + RamaniDuh! hawa watetezi wa kiba ukisoma comment zao lazima ucheke asee
Wewe ni shabiki fuata upepo,ambaye HUJUI LOLOTE SI MUZIKI TU HATA HUYO UNAYEJIFANYA MNAMSHABIKIA HUJUI HABARI ZAKE,KUNAUWEZEKANO HATA LEBEL NINI HUJUI,ILA UNAONA WATU WANAONGEA NA WEWE UNAJIINGIZA TU.lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo