Baraka Ba Prince aja na Label yake inajulikana kama BANA, amsaini Lord eyes

Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Duh! Wewe kweli mzaramo na hii sio typing error ndivyo uwezo wako ulivyo
"asipotoshe huma"
 
THIS MIGHT BE THE FUNNIEST POST TODAY(though may be true)
 
Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Label gani hiyo mkuu, hata kama hataki promo basi ingejulikana hata kwa kazi zake. Huyo Kiba ni muongo anataka kuwapumbaza mashabiki wake pia. Hivi mtu awe na Label hata mashabiki wake wasiijue hata kwa jina?
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
Maajabu mtu kumiliki Label alafu ukahama label yako. Kichaa kama mashabiki wa kiba ndi wanaweza kuamini ulongo huu wa mzee wa tembo. Alafu Rockstar sio ya Ali Kiba ila inamsimamia Ali Kiba, Jaydee, Baraka Prince na wengineo. Acheni kupotoshwa.
 
Kutangaza label ni show off? Kama huitangazi label yako nani ataijua ? Nadhan unachoongea sio kweli...
Bora mkuu umeliona hili, hata kama asingetangaza basi hata ingejulikana kutokana na kazi zake. Kalaghabao.
 
mtaka vyote hukosa vyote... huyo barakah si yupo Rock star 4000??? leo anaanzisha hiyo BANA ataweza kumudu pande zote mbili?

time will tell..
 
Lord Eyez kusimamiwa kazi zake na Baraka da Prince ni aibu na ishara ya kuonyesha kuwa sasa Lord izE kaishiwa kabisaaa namna ya kutoka upya kimuziki baada ya kuFlop kwenye gemu. The guy was one of the hiphop figurehead in tz! Afu eti leo hii aje asimamiwe kazi zake na huyu dogo baraka!! (Unbelievable). Ni sawa na leo hii tusikie Busta Rhymes anasimamiwa kazi zake na Bryson Tiller ama Augusta Alsina.
 
Punguza kukurupuka mkuu....Ali Alisema Label anayo toka kitambo ila hakuwahi Kuitangaza.

So usipotoshe Huma kwa kusema kafungua label hivi karibuni.
Lebel haitangazwi inajitangaza kama ilikuwepo ilikua inatengeneza bahia???
 
Kiba alikuwa na Lebel yake kabla ya Diamod sema hapendi show off tu.
WABONGO BANA YAAN KUTANGAZA LEBEL NI SHOW OFF!!! SASA UTAFANYA VP MZIKI ILI UTAMBULIKE BILA KUADVATISE LEBEL?
 
Label gani hiyo mkuu, hata kama hataki promo basi ingejulikana hata kwa kazi zake. Huyo Kiba ni punguani anataka kuwapumbaza mashabiki wake pia. Hivi mtu awe na Label hata mashabiki wake wasiijue hata kwa jina?
Kila mtu na maamuzi yake na kila mtu na chaguo lake.

lengo langu ni kumfanya huyu jamaa asipotoshe umma kwa kusema kuwa label ya Ali kiba ni mpya.
 
lebo yake ya mwanzoni miaka ya 2007 alikiba ilikuwa sharobaro entertainment chini ya studio ya g.record then akahama miaka ya 2010 nakuanzisha rockstar ipo mpaka leo
Wewe ni shabiki fuata upepo,ambaye HUJUI LOLOTE SI MUZIKI TU HATA HUYO UNAYEJIFANYA MNAMSHABIKIA HUJUI HABARI ZAKE,KUNAUWEZEKANO HATA LEBEL NINI HUJUI,ILA UNAONA WATU WANAONGEA NA WEWE UNAJIINGIZA TU.
Taja jina la LEBEL ya Alikiba ..........Taja wasanii waliokwisha fanyakazi chini ya hiyo lebel .........?? Halafu hii ya kusema ROCKSTAR 4000 ni ya kiba nikipimo tosha kuwa wewe ni MTUPU SI KICHWANI TU HATA KUJIJUA KUWA NI MTUPU HUJIJUI.
 
Label yake naye imemgharimu milioni 120 kama barnaba? Nyumba yake ya Tegeta kashamaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…