Baraka Ba Prince aja na Label yake inajulikana kama BANA, amsaini Lord eyes

Hahaha hizi leboz zisije kufa kama zile lipsticks za wema
 
Lord Eyes habebeki tena ni zigo lenye miba wamemshindwa weusi machalii wenzake wa r itakuwa yeye
 
Kila msanii ana lebo hii inanikumbusha bongo movie kila msanii ana kampuni yake mwisho wa siku bongo movie inapotea
 
Duh! hawa watetezi wa kiba ukisoma comment zao lazima ucheke asee
Mashabiki wengi wa Kiba hawamjui Kiba, kwa hiyo hata utetezi wao ni wa kufikirika.Aha ha eti Kiba ana label tangu zamani[emoji23][emoji23] wakiulizwa zamani ipi hawajui, hiyo lebel inamiliki wasanii gani hawajui, hiyo lebel inaitwaje hawajui, kila kitu kwao hawajui yaani hawamjui Kiba wala yanayomhusu Kiba hata anapoishi hawapajui lkn watakuambia ana mjengo somewhere [emoji23]
 
Wasanii wa bongo kwa kushobokea mambo walianza kila msanii anataka kumiliki bendi,sasa kila msanii anataka kumiliki label yake,wajifunze kwa bongo movie kilichotokea baada ya kila msanii kuanza kuwa producer na kuwa CEO wa kikampuni chake wakapoteana wenyewe.
 
Nimeona kwny page ya East Africa Tv kwamba sasa Ni official, Baraka kamsign Lordy Eyes kwenye lebel yake..

Mwenye kujua,anisaidie kujua jina la label ya Baraka,ilianzishwa lini,hadi sasa inawasanii wangapi, uhusiano wa Baraka na King Izi na mafanikio ya label hiyo kiupande wa burudani..

Tafurahi zaid km mtanielewesha hatma ya Lordy Eyes ndani ya WEUSI na Nako2Nako..

Naomba kuwasilisha..
 
Nachelea kusema hao sio mashabiki wa kiba ni haters wa Chibu ivo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…