Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Pamoja na jitihada zetu za kitokomeza ajali barabarani bado kampuni hizo tajwa hazijaelewa somo.
Nimesafiri na mabasi haya kwa nyakati tofauti tofauti na kujionea uvunjifu mkubwa wa usalama barabarani. Zaidi kwa route za kusini (Mtwara, Lindi, Masasi na Tunduru)
Na leo pia nimesafiri kwa basi la Baraka linanokwenda Tunduru. Nimeona tena hali ya ushindani na gari la Miningnice, zinafukuzana kwa mwendo wa hatari.
Tunapita vituo vingi vya Traffic sioni Askari kuingia katika basi kuuliza Wala hata kuhoji kwa abiria.
Hakika mwendo ni wa hatari, mtuombee tuu na kutupatia msaada.