Kuna namba za trafik mkoa zimeandikwa kwenye basiNa ukiripoti kwa mamlaka husika unachomewa na kuanza kutishiwa na wahusika
We mjanja hongera kwa kujua kuendesha na kukimbiza magari ila sidhani kama umeshawahi kuona mtu aliyekatika miguu tokana na ajali.We fala ni mpuuzi. Hujui chochote. Unajua kupanda na kushuka tu kwenye basi. Pongo...
Tulieni mtolewe kafara nyie. Hujui damu zenu Ndo maendeleo ya wengine?Pamoja na jitihada zetu za kitokomeza ajali barabarani bado kampuni hizo tajwa hazijaelewa somo.
Nimesafiri na mabasi haya kwa nyakati tofauti tofauti na kujionea uvunjifu mkubwa wa usalama barabarani. Zaidi kwa route za kusini (Mtwara, Lindi, Masasi na Tunduru)
Na leo pia nimesafiri kwa basi la Baraka linanokwenda Tunduru. Nimeona tena hali ya ushindani na gari la Miningnice, zinafukuzana kwa mwendo wa hatari.
Tunapita vituo vingi vya Traffic sioni Askari kuingia katika basi kuuliza Wala hata kuhoji kwa abiria.
Hakika mwendo ni wa hatari, mtuombee tuu na kutupatia msaada.
Hujataja namba za basi husika na tarehe uliyosafiriPamoja na jitihada zetu za kitokomeza ajali barabarani bado kampuni hizo tajwa hazijaelewa somo.
Nimesafiri na mabasi haya kwa nyakati tofauti tofauti na kujionea uvunjifu mkubwa wa usalama barabarani. Zaidi kwa route za kusini (Mtwara, Lindi, Masasi na Tunduru)
Na leo pia nimesafiri kwa basi la Baraka linanokwenda Tunduru. Nimeona tena hali ya ushindani na gari la Miningnice, zinafukuzana kwa mwendo wa hatari.
Tunapita vituo vingi vya Traffic sioni Askari kuingia katika basi kuuliza Wala hata kuhoji kwa abiria.
Hakika mwendo ni wa hatari, mtuombee tuu na kutupatia msaada.
Mjuze basi atoweke na huo upuuzi unaousema,,,We fala ni mpuuzi. Hujui chochote. Unajua kupanda na kushuka tu kwenye basi. Pongo...
tulia.Mjuze basi atoweke na huo upuuzi unaousema,,,
Tofauti na hapo we ndo mpuuzi ambae huenda unazungumza haya kwakuwa unanufaika na miamia zao.
Kwani kuna nin kwenye bus zaidi yakupanda na kushuka???
Utakaa stend miaka yako yote kuulizia safari za watu.
Mbali na mwendokasi, ile mikanda huwa kazi yake ni nini? sijawahi kuona ikimkaa vyema abiria isipokuwa kwa kina yokozuna (Wenye miili mikubwa zaidi). Nadhani ifike mahala TBS wajitafakari. Magari madogo ama hayohayo mabasi huwezi kuta siti ya dereva (bus) na siti zingine (light vehicles) zikiwa na yale makamba wanayoita mkanda. Mkanda wa seat ya gari unatakiwa kuwa automatic adjustable kulingana na size ya mwili wa abiria. Yani imefika hatua mkiendeshwa na dereva kichaa, mkiona bump mbele yenu, mnawahi kukinga meno yasibaki kwenye seat ya mbele yenu.Pamoja na jitihada zetu za kitokomeza ajali barabarani bado kampuni hizo tajwa hazijaelewa somo.
Nimesafiri na mabasi haya kwa nyakati tofauti tofauti na kujionea uvunjifu mkubwa wa usalama barabarani. Zaidi kwa route za kusini (Mtwara, Lindi, Masasi na Tunduru)
Na leo pia nimesafiri kwa basi la Baraka linanokwenda Tunduru. Nimeona tena hali ya ushindani na gari la Miningnice, zinafukuzana kwa mwendo wa hatari.
Tunapita vituo vingi vya Traffic sioni Askari kuingia katika basi kuuliza Wala hata kuhoji kwa abiria.
Hakika mwendo ni wa hatari, mtuombee tuu na kutupatia msaada.
Ila hizi stori hazithibitishikagi kabisa.Usiogope , mwendo kasi usababisha ajali lakini kaa ukijuwa ajali nyingi ni za kafara
Je inakuwa vip kafara? Jibu kuvunja masharti. Kivipi?
Kuna boss ya kampuni moja la bus alipewa sharti hili;
Kwamba kila siku ya Mungu ni lazima agawe hela yeyote ambayo ni salafu, yaan 100 au 200 au 500 na aigawe mbali na mazingira anayo kaa e.g mjini huko au mtaa tofauti anaokaa.
Kwa nini aigawe mbali na anapokaa?
Eti mtu wa familiya yake mfano asende labda dukani akapewa hiyo hela. kwa ufupi hiyo hela hakutakiwa kupa mtu anaemjua bora awape wale omba omba wa mjini.
Kazi hiyo alitakiwa kuifanya kila siku kabla ya jua kuzama. Ahaaaaa si siku hiyo kasahau kutoa hiyo sadaka kabla ya jua kuzama? weeee bus lake lilichinja balaa.