PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 21, 2017 #21 data said: Ali Kiba ana roho mbaya sanaa... Sana sanaaa.. Ndio maana hafanikiwi. Hivi anashindwa kujifunza kwa Diamond. Click to expand... Huyo jamaa ndio maana anabambikiwa watoto sio wake tu na machangu. Jamaa lofa sana.
data said: Ali Kiba ana roho mbaya sanaa... Sana sanaaa.. Ndio maana hafanikiwi. Hivi anashindwa kujifunza kwa Diamond. Click to expand... Huyo jamaa ndio maana anabambikiwa watoto sio wake tu na machangu. Jamaa lofa sana.
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,503 Reaction score 2,078 Dec 21, 2017 #22 Kwahiyo
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Dec 22, 2017 #23 data said: Ali Kiba ana roho mbaya sanaa... Sana sanaaa.. Ndio maana hafanikiwi. Hivi anashindwa kujifunza kwa Diamond. Click to expand... Ali Kiba kama angekuwa na tabia hiyo angeifanya kwa Dimond.....Huyu sio mpinzani wake,hajawahi Kuwa na hatokuwa. Dogo afanye kazi na aache kulia lia
data said: Ali Kiba ana roho mbaya sanaa... Sana sanaaa.. Ndio maana hafanikiwi. Hivi anashindwa kujifunza kwa Diamond. Click to expand... Ali Kiba kama angekuwa na tabia hiyo angeifanya kwa Dimond.....Huyu sio mpinzani wake,hajawahi Kuwa na hatokuwa. Dogo afanye kazi na aache kulia lia
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 22, 2017 #24 mzaramo said: Ali Kiba kama angekuwa na tabia hiyo angeifanya kwa Dimond.....Huyu sio mpinzani wake,hajawahi Kuwa na hatokuwa. Dogo afanye kazi na aache kulia lia Click to expand... Diamond chama kubwa, anafanyakazi na watu wengi wanaojua mitandao vizuri. Kiba hawezi kufikia level zile, atawaonea haohao dagaa.
mzaramo said: Ali Kiba kama angekuwa na tabia hiyo angeifanya kwa Dimond.....Huyu sio mpinzani wake,hajawahi Kuwa na hatokuwa. Dogo afanye kazi na aache kulia lia Click to expand... Diamond chama kubwa, anafanyakazi na watu wengi wanaojua mitandao vizuri. Kiba hawezi kufikia level zile, atawaonea haohao dagaa.
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Dec 22, 2017 #25 Sema hio ngoma ni kali sanaaa.. Btw nauza views kama uko interested njoo PM ....pesa kwanza mengine baadae maaba biashara hii ni illegal
Sema hio ngoma ni kali sanaaa.. Btw nauza views kama uko interested njoo PM ....pesa kwanza mengine baadae maaba biashara hii ni illegal