TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Umeoa?Ila akumbuke ndoa ni shimo refu lenye kiza
Ndio 15 years in marriageUmeoa?
Ila akumbuke ndoa ni shimo refu lenye kiza
Ok hongera Mzee.Ndio 15 years in marriage
Waliomo wanataka kutoka wasioingia bado wanakimbilia na kutamani kuingia. ..strange phenomenonSa mbona wengi wanalikimbilia hilo shimo???
Unataka kutoka pia?Waliomo wanataka kutoka wasioingia bado wanakimbilia na kutamani kuingia. ..strange phenomenon
Mzee mbona unatutisha?Ila akumbuke ndoa ni shimo refu lenye kiza
In Sha Allah kheir. Iwe ndoa yenye baraka tele.
hongeraNdio 15 years in marriage
Hata kwa winch sitokiUnataka kutoka pia?
Kumbe pazur ngoja Baraka aingieHata kwa winch sitoki
Not easy way to go kuna ups and downs nyingi tuuhongera
Asisahau kuna"gravity"... He thinks he is at the climax....Ila akumbuke ndoa ni shimo refu lenye kiza
Naelewa sana tu,ndo maana nakupa hongera 15 yrs ....you need to thank God all the time! ...Not easy way to go kuna ups and downs nyingi tuu
Hekima busara na uvumilivu vitakuvusha mabonge na milima mingi...ndoa sio supermarket kuwa utapata kila kitu humoMzee mbona unatutisha?