Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,563
Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza.

Hongera Baraka kwa maamuzi ya kiutu uzima.
================

NajBa.jpg
 
Mi nataka kesho twende ukamwone mama mi nataka kesho twende ni kupeleke nyumbani...daaah wasanii wa bongo yetu hii bana hataree
 
Mkuu ni kama vile yani una uhakika kabisa kwamba wote tunawafahamu. Naomba uweke picha ili habari ikamilike
 
Back
Top Bottom