Ndio 15 years in marriage
Naamini utakuwa umenifananisha huo mwaka 2008 tayari nilikuwa nimeshafikisha miaka 7 kwenye ndoa na nilikuwa kaziniMshana acha hizo bwana 15 yrs in Marriage? wakati umemaliza shule advance 2008 kwa hiyo ulioa wakati upo darasa la pili?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mshana acha hizo bwana 15 yrs in Marriage? wakati umemaliza shule advance 2008 kwa hiyo ulioa wakati upo darasa la pili?
Naamini utakuwa umenifananisha huo mwaka 2008 tayari nilikuwa nimeshafikisha miaka 7 kwenye ndoa na nilikuwa kazini
ni kwasababu ni wa mkoani mwanza si mwanadarisalamu na hanyi maji mengiBaraka ni mweusi mmh kama vile anapaka kiwi
Dada amekunywa maji mengi Sana, sema huyu mjomba labda apige jagi kama sita per day ndio anaweza kuonekana japo meno.
Kuonja ni lazima,uwezi nunua kiatu bila ya kukijaribisha.Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
Yule binti aliemzalisha mtoto pale iringa masikini ndio kaachwa...wameanza maisha wote wakiwa zero....kafanikiwa kahamisha kambi....poleni wasichana wote
Kama alivyoingia Wastara! Duu.Trust me huwezi kujua utamu wa ngoma mpaka uingie ulingoni
Chakula kitamu ni kile kilichohifadhiwa.....Kuonja ni lazima,uwezi nunua kiatu bila ya kukijaribisha.
Ndoa nzuri bwana!..
Asikudanganye mtu
kikiharibika?Chakula kitamu ni kile kilichohifadhiwa.....
Nani atakiharibu...???kikiharibika?