Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

Baraka da Prince amtambulisha Naj nyumbani

Mshana acha hizo bwana 15 yrs in Marriage? wakati umemaliza shule advance 2008 kwa hiyo ulioa wakati upo darasa la pili?
Naamini utakuwa umenifananisha huo mwaka 2008 tayari nilikuwa nimeshafikisha miaka 7 kwenye ndoa na nilikuwa kazini
 
Mshana acha hizo bwana 15 yrs in Marriage? wakati umemaliza shule advance 2008 kwa hiyo ulioa wakati upo darasa la pili?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa jicho la kiutu uzima bado nashindwa kuiona taswira halisi ya ndoa kwenye nyuso za vijana hao.....maana nina uhakika wameshaonjana hata kabla ya kufikiria kuoana na hapo ndipo ilipoanza kupotea taswira ya ndoa na kuwa na sura za wazinzi wanaotaka kuuweka hadharani uzinifu wao.....
Kuonja ni lazima,uwezi nunua kiatu bila ya kukijaribisha.
 
Yule binti aliemzalisha mtoto pale iringa masikini ndio kaachwa...wameanza maisha wote wakiwa zero....kafanikiwa kahamisha kambi....poleni wasichana wote
 
Yule binti aliemzalisha mtoto pale iringa masikini ndio kaachwa...wameanza maisha wote wakiwa zero....kafanikiwa kahamisha kambi....poleni wasichana wote

Tatizo wasichana wa Iringa wavivu kunywa maji. Masuper star wanapenda wanawake weupe wakipigwa picha na Shigongo wanapendeza. Sio mademu weusi kama lami. Huyo wa Iringa mwambieni aongezee mikorogo kwanza
 
hv huyo naj ndo yule ambaye ashakuwaga demu wa blue na diamond au?!
 
Back
Top Bottom