Baraka da Prince amtukana Ney wa mitego

Baraka da Prince amtukana Ney wa mitego

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu.

“Nay hana akili, yaani Nay wa Mitego ni mp*mbavu tu,” Barakah alimwambia mtangazaji wa kipindi cha Mdundo Bando cha Lake FM, JR Junior. “Yeye ndio anaishi kwa makiki ndio maana mpaka alifungiwa kwa kupiga madada za watu picha za uchi, sio mwanamuziki mzuri,” alisisitiza msanii huyo.

“Nay wa Mitego ni rapper anayeungaunga, yaani huwezi kumweka miongoni kwa rappers wakali Bongo, huwezi kunitajia Nay wa Mitego nikakuambia kwamba ni rapper mkali. Kwahiyo naye akija akaongea shit about me yaani
nitamshangaa.”

Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na mp*mbavu.

“Nay hana akili, yaani Nay wa Mitego ni mp*mbavu tu,ndio maana ana mdomo mzito kama uji wa magimbi” Barakah alimwambia mtangazaji wa kipindi cha Mdundo Bando cha Lake FM, JR Junior.

“Yeye ndio anaishi kwa makiki ndio maana mpaka alifungiwa kwa kupiga madada za watu picha za uchi, sio mwanamuziki mzuri,” alisisitiza msanii huyo.

“Nay wa Mitego ni rapper anayeungaunga, yaani huwezi kumweka miongoni kwa rappers wakali Bongo, huwezi kunitajia Nay wa Mitego nikakuambia kwamba ni rapper mkali. Kwahiyo naye akija akaongea shit about me yaani nitamshangaa.”
 
Muimbaji Baraka amesema Ney wa mitego ni msanii ambaye hana akili na umaarufu wake umetokana na kuimba nyimbo mza kutukana watu na ndio maana akafungiwa na BASATA
Baraka ameyasema hayo baada ya Ney wa mitego kusema ugomvi wake na mchekeshaji stan bakora wameutengeneza ili kuupa umaarufu wimbo wake
 
Yani nikisikilizaga interview za uyu jamaa, nachekaga sana...yani anamkoromea hadi mtangazaji
 
Baada ya Nay wa Mitego kudai kuwa muimbaji huyo wa ‘Nisamehe’ na Stan Bakora ni watoto na kwamba huenda wanatafuta kiki, ameibuka na kudai kuwa rapper huyo hana akili na ni mp*mbavu.

“Nay hana akili, yaani Nay wa Mitego ni mp*mbavu tu,” Barakah alimwambia mtangazaji wa kipindi cha Mdundo Bando cha Lake FM, JR Junior. “Yeye ndio anaishi kwa makiki ndio maana mpaka alifungiwa kwa kupiga madada za watu picha za uchi, sio mwanamuziki mzuri,” alisisitiza msanii huyo.

“Nay wa Mitego ni rapper anayeungaunga, yaani huwezi kumweka miongoni kwa rappers wakali Bongo, huwezi kunitajia Nay wa Mitego nikakuambia kwamba ni rapper mkali. Kwahiyo naye akija akaongea shit about me yaani
nitamshangaa.”

Watu weusi sie hatujiamini, ndio maana mtu akionyeshwa ndiz na mzungu ana punikiiii pasipo sababu Mweusi mwenzio akikuonyesha ndiz unaipokea unaila ila mweupe unakua ni kashfa (ubaguzi wa rangi) weusi tuna visa sana na tunapenda League mnooo, ila Ney nae aache kujiingiza kwenye ugomvi usio muhusu ye angekaa kimya kama wasanii wengine angedhurika nn hili ni funzo kwamba wapumbavu ndo wana vihele hele
 
Seven Mosha anakazi ya kuwapiga msasa wasanii wake wa rockstar
Alikiba na baraka da prince
Wanapofanya interview waongee nini, hawa vijana interview zao ni za hovyo
 
Back
Top Bottom